Thursday, 4 December 2014

Martin Kadinda kuja na collection ya viatu vyake mwenyewe


Mbunifu wa mavazi aliyejipatia umaarufu kupitia mitindo ya single button blazers na Kwachukwachu, Martin Kadinda anatarajia kuzindua collection mpya ya mavazi katika onyesho la Swahili fashion week. 

Kadinda amesema collection yake itabebwa na viatu vyake mwenyewe ambavyo ni vya kiume. Amesema anaamini kuna wabunifu walioamtangulia katika suala la ubunifu ila yeye ameboresha na kuzidisha nakshi ili kuweza kushinda soko la viatu Tanzania.

FOLLOW US ON

 

No comments:

Post a Comment