Sunday, 28 September 2014

Fahamu Diamond Alichoandika Kuhusu Mpenzi Wake Wema Kwenye Birthday Yake


Wapenzi wanaofuatiliwa zaidi Diamond na Wema Sepetu wamepitia misuko siku tofauti mwaka huu mpaka kufikia kuachana na kurudiana,hivi katibuni pamekuwa na stori tofauti kuhusu ndoa na Diamond kuhusishwa na mwanamke mwingine, Kwenye siku ya kuzaliwa ya Wema Sepetu, Diamond ametumia instagram kutoa ya moyoni kuhusu penzi lake kwa Wema.

No comments:

Post a Comment