BHitz ft. DJ Choka,Gosby,Deddy,MRap & Mabeste - Chapa Mitaa (Audio)
BHitz imeachia wimbo mpya uliowashirikisha wasanii wa zamani wa label hiyo wasanii hao ni DJ Choka, Gosby,Deddy, MRap Lion na Mabeste. Wimbo unaitwa ‘Chapa Mitaa’ na umetayarishwa na Hermy B na Pancho Latino.Usikilize na Download hapa
No comments:
Post a Comment