Aliewahi kushiriki na kushinda taji la mkali wa freetyle kupitia bongo
fleva freestyle ikiongozwa na Fetty "Raymond" anaewakilisha Mbeya City,
ambae kwa hivi sasa yuko chini ya uongozi wa Tiptop Connection,
anatarajia kuachia wimbo wake mpya hivi karibuni "Upo Mwenyewe"
Raymond licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa ku freestyle, lakini pia
anauwezo mkubwa wa kuimba, kitu ambacho kinanifanya nisubiri kwa hamu
ngoma hii, mana sijui kaimba au kachana...keep visiting your blog uwe wa
kwanza kuisikia
No comments:
Post a Comment