Kama ulimiss basi ile ratiba ya tamasha la fiesta iliyotolewa hapo jana
kupitia xxl, wakati mkurugenzi wa vipindi Clouds Fm bwana Sebastian
maganga ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya Fiesta 2014 akitiririka
Ni kwamba kuna good mwaka huu hasa kwa sehem ambazo Clouds imesikika
kwa mara ya kwanza ambapo kwa kanda ya ziwa, kwa mara ya kwanza Fiesta
itatia timu mwaka huu katika wilaya ya Kahama na kwa mkoa kwa Kagera ni
Bukoba.
Fiesta 2014 iliyopewa Theme ya Sambaza Upendo itaanza rasmi ndani ya Mwanza, August 09 Kirumba Stadium
ikifuatiwa na Bukoba August 15 Kaitaba Stadium then Kahama ndani ya Kamaha Stadium August 17
na baada ya hapo ni Musoma ndani ya Karume Stadium August 22
na kwa upande wa kanda ya ziwa fiesta 2014 itaishia Shinyanga mjini August 24 ndani ya Kambarage Staium
Serengeti 2014 tupo pamoja, sambaza upendo.. ni sheeeedah.
By omaryramsey
No comments:
Post a Comment